ads slot

Latest Posts:

Watu 8 Wauawa kwa Kufichua vitendo vya Kihalifu

Watu kadhaa wa kijiji cha Mikocheni karibu na mapango ya Amboni mkoani Tanga wameuawa usiku wa kuamkia leo.

Inasemekana watu waliouawa wanadaiwa kufichua vitendo vya uhalifu kijijini hapo na kwamba miili ya watu hao waliouawa imepelekwa hospitali ya rufaa ya Mkoani humo.

Chanzo : Radio One.

Mya Take : Ulinzi shirikishi unaweka rehani maisha ya raia wema
Share on Google Plus

About felkiul

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment