ads slot

Latest Posts:

Mashabiki wa daimond kusherekea baada ya tangazo la mtv

Seems like Diamond Platnumz amewapa taarifa muhimu MTV Base.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, kituo hicho cha runinga kiliandika kuwa staa huyo anakuja na collabo na Chris Brown.

“@diamondplatnumz working on a future project with #chrisbrown,” wameandika.

Taarifa hiyo ilipokelewa kwa furaha kubwa na mashabiki wake waliomwaga lundo la comments takriban 900. Comments nyingi ni za mashabiki wanaobishana na kutukanana hata hivyo, SMDH
Share on Google Plus

About felkiul

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment