ads slot

Latest Posts:

Haya ni maneno ya najma kuhusu baraka da prince

Mwanamuziki Najma Dattan ‘Naj’ ameibuka na kusema kuwa kwa msanii mwenzake Baraka Da Prince amefika wala hajali ametoka na wanawake wangapi kwa sababu hata yeye ana ‘pasti’ yake.

Akizungumza na Ijumaa, Najma alisema kuwa amekuwa akiwashangaa wasichana waliopita kwa Baraka ndiyo wanamuongelea kila siku wakidai anakula makombo lakini Baraka mwenyewe haongelei kabisa uhusiano wa watu wake wa zamani.

“Sijali ametoka na wangapi, hayo ni maisha ambayo kila mtu anapitia. Niseme tu kwamba sijawahi kumtambulisha mwanaume kwetu, hapa kwa Baraka nahisi nimefika kwa sababu ndiye mwenye penzi la kweli, kitakachofuata muda si mrefu ni ndoa tu kwani wazazi wetu wanaujua uhusiano wetu,” alisema Najma
Share on Google Plus

About felkiul

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment