ads slot

Latest Posts:

Breaking news; Tundu Lissu na Esther Bulaya Wafungiwa Kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya Bunge

Tundu Lissu na Esther Bulaya wafungiwa kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya bunge la bajeti na bunge lijalo la mwezinwa tisa. Vilevile Zitto Kabwe, Pauline Gekul, Godbless Lema na Halima Mdee wafungiwa kushiriki vikao vilivyobaki vya bajeti na John Heche afungiwa kuhudhuria vikao kumi mfululizo vya bajeti kuanzia leo.
Huu ni uamuzi wa kamati Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge chini Mh George Mkuchika (Mb
Share on Google Plus

About felkiul

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment